Na Zena Mohamed,TimesmajiraOnline,Dodoma MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeokoa Shilingi bilioni 586.5 baada ya kuzuia utoaji wa...
Na Joyce Kasiki, Timesmajira Online, Dodoma WANAFUNZI 10 wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada ya Uzamili kupitia mpango wa Samia...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online KAMPUNI ya Mawasiliano Yas, imekabidhi hundi ya shilingi milioni tano (5) kwa Lucy Mwaikena, mkazi...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Dar Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar-es-Salaam,limewakamata watuhumiwa 46 kwa tuhuma mbalimbali za makosa ya...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Geita Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imesaini mkataba wa ubia na kampuni ya Plantcor...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira WITO umetolewa kwa makampuni makubwa ya uchimbaji madini nchini kuwekeza katika kuwawezesha wachimbaji wadogo katika nyanja mbalimbali...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, amezindua kampeni ya mafunzo...
Na Penina Malundo,Timesmajira USHIRIKIANO wa kikanda wa Nchi Wanachama 10 ujulikanao kwa jina la Nile Basin Initiative (NBI), kwa niaba...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma MKURUGENZI wa Children in Crossfire (CiC), Craig Ferla, amesema mustakabali wa Tanzania uko mikononi mwa watoto...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Benki ya NMB imeendeleza jitihada zake za kujenga nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa ya kisasa katika...
