Mwandishi: Ismail Mayumba Unyanyasaji wa mtandaoni ni vitendo vya matumizi mabaya ya teknolojia vinavyolenga kumdhalilisha, kumtukana, kumfedhehesha au kumletea madhara...
Sayansi na Technolojia
Mwandishi: Ismail Mayumba Miongoni mwa mashambulizi makubwa ya kimtandao yanayoathiri huduma za mtandaoni ni shambulio la DoS (Denial of Service)...
Mwandishi: Ismail Mayumba Uvunaji wa data mtandaoni ni mchakato wa kukusanya taarifa kutoka kwenye tovuti, machapisho ya kidijitali, na mitandao...
Mwandishi: Ismail Mayumba Katika dunia ya kidijitali, “link” ni sehemu muhimu sana ya matumizi ya mtandao. Link ni maandishi au...
MWANDISHI: ISMAIL MAYUMBA Neno “watu wasiojulikana” limekuwa likitumika sana nchini Tanzania, hasa katika mijadala inayohusu usalama wa raia na matukio...
Mwandishi: Ismail Mayumba Kumekuwa na ongezeko la vitendo vya udhalilishaji, uonevu wa mtandaoni (cyberbullying), pamoja na matumizi mabaya ya maudhui...
Mwandishi: Ismail Mayumba Terms and Conditions, ni jambo ambalo kila mtu analijua kwenye ulimwengu wa kiteknolojia. Kila unapojaribu kutumia programu...
Mwandishi: Ismail Mayumba Matumizi ya Live Location kwenye WhatsApp ni njia rahisi na salama ya kushirikisha mahali ulipo kwa wakati...
Mwandishi: Ismail Mayumba Huduma ya location kwenye simu ni kipengele muhimu sana kinachochangia kwa kiasi kikubwa utendaji mzuri wa kifaa...
Mwandishi: Ismail Mayumba Kujua eneo ambalo simu yako ipo wakati hujaishika au haipo karibu nawe ni jambo muhimu sana katika...
