Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Dar BAADHI ya wasusi jijini Dar-es-Salaam wameiomba kampuni ya Darling Hair kupanua wigo wa programu yake ya Loyalty Program ili kuwafikia wasusi wengi zaidi, wakisema mpango huo umekuwa na manufaa kwao katika kipindi cha miaka miwili tangu kuanzishwa kwake. Rai hiyo imetolewa katika hafla ya kutimiza miaka miwili ya programu hiyo iliyowakutanisha wasusi kutoka Kariakoo,Magomeni,Manzese na maeneo ya jirani katika ukumbi wa Sinza Deluxe, jijini Dar-es Salaam. Hafla hiyo ilihusisha michezo, muziki, vyakula, zawadi na burudani mbalimbali. Queen Mgao,msusi kutoka Kariakoo amesema,kuongezwa kwa idadi ya wasusi wanaonufaika na programu hiyo kutawapa fursa zaidi ya kukusanya lebo na...
Judith Ferdnand
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online,Tabora KILA mtumishi aliyepewa dhamana ya kutumikia wananchi ndani ya Serikali mkoani Tabora ametakiwa kuwa mstari...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira,Dar WATANZANIA wamehamasishwa kupenda na kushiriki katika utalii wa ndani kwa kupanda Mlima Kilimanjaro na kutembelea vivutio mbalimbali...
Na Judith Ferdinand,TimesMajira Online,Mwanza IMEELEZWA kuwa matumizi ya mfumo mpya wa ulipaji wa Kodi ya Majengo (NaPA) pamoja na mfumo...
Na Judith Ferdinand,TimesMajira Online,Mwanza WAZIRI wa Maji,Jumaa Aweso, amefanya mabadiliko ya uongozi katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online,Mwanza SERIKALI kupitia Waziri wa Maji Jumaa Aweso,imesema hakuna sababu ya Jiji la Mwanza kuwa na ...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Bukoba IMEELEZWA kuwa mradi wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP)kutoka Hoima nchini...
WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewatahadharisha wafanyabiashara wanaokiuka sheria kwa kuchezea mizani na vipimo kuwa utawafuatilia waliko na kuwachukulia hatua...
Na Judith Ferdinand,TimesMajira Online, Mwanza NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo amewataka wafanyabiashara hapa nchini kutumia fursa zilizopo...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Mwanza MHITIMU wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Gladness Silayo,amegeuza elimu ya Shahada ya Uhasibu na...
