December 6, 2021

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Muleba, mkoani Kagera katika picha

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 3 Tawi la Kagasha, Kata ya Kabitembe, Muleba ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja wa Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akishiriki ujenzi wa madarasa ya shule ya Kabitembe pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja wa Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Kagera ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.