Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Dorina Makaya (wa pili kutoka kushoto) na Meneja Msaidizi TFS kanda ya Kati, Bi. Patricia Manonga ( wa tatu kutoka kulia) wakiwa pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Maliasili, Taasisi na Vyuo wakisherehekea Ushindi walioupata mara baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi wa kwanza katika kundi la Wizara Sekta ya Uchumi - Uzalishaji kwenye sherehe ya siku ya Wakulima - Nane Nane 2020 zilizofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni jijini Dodoma. (Na Mpigapicha Wetu).
More Stories
eGA yaimarisha kilimo kupitia Mifumo ya Kidigitali
Mbegu bora msingi wa mapinduzi ya kilimo nchini
Waziri Mkuu Aipongeza TAFICO kwa mafanikio Nanenane