Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo, leo Agosti 28, 2021.Â
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitabua ambacho Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alisajaliwa kuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora kwa nambari 590 wakati alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo, leo Agosti 28, 2021Muonekano wa sehemu ya bweni la Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora baada ya ukarabti uliofanywa na serikali. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati huo, leoAgosti 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
More Stories
RC atoa kifuta jasho waathirika 44 wa moto
OMTZD yakamilisha mipango ya kukabiliana na mafuriko Dar es salaam
Filamu ya The Rhinos of Ngorongoro yazinduliwa