Rostam Aziz (kushoto) akiteta na waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed nje ya ukumbi wa Sheikh Idris Abdul Wakil leo. Picha na Martin Kabemba.
Rostam Aziz akiteta na Mohamed Aboud baada ya mfanyabiashara huyo kukabidhi msaada kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Picha na Martin Kabemba.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed 9kulia) akimpokea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Id kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na mambukizi ya rirusi vya korona vilivyotolewa na Rostam Aziz jana. Picha na Martin Kabemba.
More Stories
GOODWILL yazindua miradi ya upanuzi wa kiwanda Mkuranga
Wagonjwa 500 wafanyiwa upasuaji wa nyonga na goti MNH-Moganzila
Mgejwa:Nishati Safi ya Kupikia ni fursa ya kiuchumi