Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe leo.
More Stories
Wachimbaji wadogo Geita wapatiwa leseni tatu mpya
Asilimia 90 fedha sekta ya madini kubaki nchini
TBA yatangaza fursa uwekezaji Geita,yanyakua Tuzo