Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online. Dar JESHI la Polisi Mkoani Mbeya, linawashikilia wafanyabiashara wa madini 10 kwa tuhuma za utoroshaji...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajira Online NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amemwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), inajivunia mafanikio makubwa kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya...
Na Moses Ng’wat,Timesmajiraonline,Songwe. MKUU mpya wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake mapya kwa kumshukuru...
Na Mwandishi Wetu WAKATI wa Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2005 sera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiungwa...
Na Mwandishi Wetu, TimesmajiraOnline,Dar WAKATI akikabidhiwa kijiti Machi, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisitiza dhamira yake ya kuijenga Tanzania moja...
WANAFUNZI wa kike wa shule za Sekondari Mighareni na Kwakoko wilayani Same Mjini,mkoani Kilimanjaro,wamepatiwa taulo za kike bure zenye thamani...
Na Philemon Muhanuzi,TimesmajiraOnline,Dar MABUNDA ya pesa yamezoeleka kuonekana katika kipindi hiki yakiwa mkononi mwa wasaidizi wa Rais Samia tayari kuwapa...
Na Penina Malundo,TimesmajiraOnline,Dar LEO Rais Samia Suluhu Hassan, anatimiza miaka mitatu tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
TimesmajiraOnline,,Dar LEO Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka mitatu tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo, mwaka 2021. Rais Samia aliapishwa kushika...
