Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) ameonesha kuridhika na usimamizi wa Mamlaka...
Na Joyce Kasiki MHANDISI Daud Enock kutoka Kampuni Tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (GASCO), amesema jukumu kuu...
Na Joyce Kasiki DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde, amesema takwimu sahihi ni msingi muhimu wa kupanga...
Na Joyce Kasiki BARAZAÂ la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limewahimiza wananchi kutembelea banda...
Na Joyce Kasiki, Times Majira KAMPUNI Tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), TANOIL, imejipanga kupanua wigo wa...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajira WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameipongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa hatua...
Na Mwandishi wetu TAASISI ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewakumbusha wakulima na wadau wa sekta ya kilimo kununua...
Na Joyce Kasiki, Timesmajira Online MFUKO wa huduma.za Fedha (SELF Microfinance Fund ) umesema imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi...
Na Joyce Kasiki WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Musa Omar ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa hatua inazoendelea...
Na.Mwandishi wetu,Timesmajira Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika utendaji wake wa kibiashara baada ya kupata faida,...
