Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online Serikali imelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuhakikisha linapanga mikakati madhubuti itakaloliwezewesha kukua na kujiendesha...
Muhasibu Mkuu wa Serikali Msaidizi CPA Azizi Kifile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Viwango Vipya vya Hesabu vya Kimataifa vya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa nchi za Nordic...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online, Mwanza Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, kupitia idara ya ardhi imetakiwa kuhakikisha inakamilisha majibu ya wananchi...
Na Mwandishi Wetu Baraza la Ushindani (FCT) la Tanzania limefutilia mbali uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) uliotolewa Februari 28...
Na Yusuph Mussa,Timesmajira Online,Lushoto MKUU wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Kalisti Lazaro amevitaka vyombo vya Watumia Maji ngazi ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Askofu...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online, Mwanza Jeshi la Polisi,maofisa uvuvi pamoja na taasisi nyingine zinazohusika na ulinzi wa rasilimali za Ziwa...
Na Moses Ng’wat, Timesmajira Online,MbozI. JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
Judith Ferdinand,Timesmajira Online, Mwanza Katika kipindi cha miezi mitatu Julai-Septemba mwaka 2023 zaidi ya wakandarasi wa umeme(mafundi umeme) 300 walipatiwa...