Na Heri Shaaban, Timesmajira Online,Temeke Shirika la Tanzania One, limesherekea siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa vitu mbalimbali kwa wanawake...
Na Ashura Jumapili, TimesMajira Online,Kagera Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Bukoba ( BUWASA),wameadhimisha siku ya...
Judith Ferdinand Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa na athari kwa familia na watoto mkoani Mwanza, huku changamoto za kiuchumi zikionekana kuathiri...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online, Mwanza Wito umetolewa kwa Watanzania, kuhakikisha wanalinda,kuuenzi,kudumisha na kuupigania utamaduni wa kitanzania,ili kuchochea maendeleo ya taifa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa...
Fresha Kinasa, TimesMajira Online Mara. JAMII imehimizwa kuendelea kutambua na kuthamini kwa dhati mchango mkubwa wa kimaendeleo unaotolewa na Wanawake...
Na Agnes Alcardo,TimesmajiraOnline MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia...
Na Heri Shaaban, Timesmajira Online,Ilala NAIBU Meya wa Halmashauri ya jiji la Dar-es- Salaam Ojambi Masaburi ,ambaye ni Diwani wa...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimefanya mabadiliko katika mchakato wa upatikanaji wa wagombea ndani ya...
Na Martha Fatael, Moshi WANAWAKE Kata ya Mabogini, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameonesha mfano wa kusherehekea siku ya Mwanamke kwa...
