Na Mwandishi wetu,Timesmajira Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema Njia ya...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Mbunge wa Jimbo la Kawe, Geofrey Timothy, amewataka waigizaji na wadau wa sanaa nchini kuongeza uwekezaji katika...
Na Joyce Kasiki, TimesMajira Online, Tanga KIJANA aliyehitimu katika fani ya Sayansi ya Kompyuta kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online-Dar MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS),...
Na Mwandishi wetu,Mwanza Serikali imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli...
Na.Mwandishi wetu,Timesmajira Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), imeingia mashirikiano na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark,...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira KAMPUNI ya Premier Bet imeingia mwaka wa pili wa ushirikiano na Dodoma Regional Basketball Association (DORBA) katika...
Na Joyce Kasiki, Tanga WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amekipongeza Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni, na Michezo ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Husna Sekiboko (Mb) imepokea na kuchambua...
Na Joyce Kasiki,Timesmajiraonline,Tanga NAIBU Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Profesa Razack...
