Na Mwandishi Wetu, TimesMajira,Dar MRADI wa Mawasiliano umewezesha kuboresha upatikanaji wa mawasiliano na huduma za Serikali kwa njia ya kielektroniki...
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online,Mwanza SHIRIKA la kuteta haki za wanawake na watoto Kivulini,husaidia kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia,familia...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online,Dodoma CHAMA cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kinatarajia kufanya Mkutano mkuu wa Taifa kwa kuzingatia...
Judith Ferdinand,TimesMajira Online,Mwanza HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imetenga zaidi ya sh. milioni 620 kwa ajili ya mikopo...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Benki ya NMB imeorodheshwa katika nafasi ya tisa duniani ndani ya Daraja la Sita la benki zenye...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Buigiri mkoani Dodoma, wakiwemo wenye changamoto ya uoni na ualbino, wamepata...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, leo ameshiriki katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati...
Na Judith Ferdinand,Mwanza KIJANA mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35,amefariki kwa kupigwa risasi kwa tuhuma...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira WAJAWAZITO wanaopata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Mbarali wanatarajiwa kunufaika na vifaa tiba na vifaa vya...
Na Mwandishi Wetu,Dar MKUU wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar-es-Salaam Edward Mpogolo, ameagiza Halmashauri ya Jiji la Dar-es-Salaam kushirikiana na...
