Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Mahakama kuu Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili baada ya kubaini kulikuwa na mapungufu katika mwenendo mzima wa kesi.

Sabaya na wenzake walikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
More Stories
TEHAMA kutumika kupima utendaji kazi serikalini
Operesheni kamata madereva walevi na wanaoendesha mwendo wa kasi
Serikali kuongeza bajeti ya kilimo, mifugo na uvuvi