Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Aliyekua Mfanyakazi Umoja wa Mataifa Tanzania, Comoro Mwenda ajitosa rasmi kuwania Ubunge Jimbo la Kawe.
Mwenda ana uzoefu zaidi ya miaka 17 kwenye sekta ya afya, elimu, mazingira ukuzaji ujuzi kwa vijana, ustawi uchumi kina mama na makundi ya wenye ulemavu.


More Stories
TADB yatoa tuzo kwa wanafunzi 13 SUA
Louis-Olivier Favot Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Mixx
Ilemela yakusanya bil. 4.37