Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili nyumbani hapo wakati akitokea jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na wanafamilia wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa wakimuombea sala Marehemu Mzee Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
More Stories
Serikali:Usimamizi madhubuti wapunguza udanganyifu mitihani
Hafla uzinduzi Mji wa Serikali yaahirishwa
Samizi ataka NHIF kuongeza kasi usajili wanachama