Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Djibouti Ismaïl Omar Guelleh wa nchi hiyo.
Waziri Kombo amewasilisha ujumbe huo wakati wa sherehe za uapisho wa Rais Guelleh zilizofanyika Mei 09, 2026 jijini Djibouti.


More Stories
Tanzania mwenyeji mkutano wa COP12
Vijana 50 Tanga kudhibiti uchafuzi
Nyamanoro kupata zahanati baada ya miaka