NSSF wanatarajia kuwa na kikao kazi na Wahariri wa vyombo vya Habari kwa uratibu wa ofisi ya msajili wa Hazina
Kikao hicho kitafanyika kesho tarehe 25 Septemba, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Pia Kikao hicho kitaanza saa 3: 00 asubuhi.
Post Views: 725
More Stories
HESLB yavunja rekodi, yakusanya bilioni 235.5/-
Umuhimu wa Serikali,Sekta Binafsi kuchochea uchumi wa Tanzania
Viongozi wanawake watakiwa kuvunja vikwazo vya kimfumo