April 19, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Jenista akabidhiwa ofisi na kuanza kazi rasmi

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akikabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi jana na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Mhe. Mohamed Mchengerwa mara baada ya kuapishwa rasmi jana na Mhe. Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mchengerwa kwa sasa ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akitoa neno la shukrani kabla ya kukabidhi ofisi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama leo jijini Dodoma. Wengine ni Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akisalimiana na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Rais kuiongoza Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kulia kwake ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ambaye kabla alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi akilakiwa na Watumishi wa Ofisi yake mara baada ya kuripoti rasmi baada ya kuapishwa na Mhe. Rais leo Jijini Dodoma.