Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17,2025 amekagua uharibifu uliofanyika katika mizani ya magari iliyopo Mpemba, mkoani Songwe, uharibifu huo ulitokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Songwe kwa ziara ya kikazi
More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji