May 20, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Breaking news:Rais Samia ateua Mkurugenzi Mkuu NEMC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt.Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira (NEMC)