Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha tatu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa  Barea uliopo Mahamasina, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina wa Madagascar   zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa  Barea uliopo Mahamasina, Desemba 16, 2023. Kushoto ni mkewe Mama Mary Majaliwa. Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akiwa na mkewe, Mialy Rajoelina, na watoto wao Arena na Ilonstoa Rajoelina (kulia) baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha tatu katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina, Rais wa Comoro, Azali Assoumani akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa katika sherehe za kumwapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Barea uliopo Mahamasina, leo. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Post Views: 286 Continue Reading Previous Serikali kuwekeza kurahisisha mitihani mtandaoniNext Naibu Waziri asimikwa Uchifu, apewa jina la Mshora More Stories 2 min read Habari Jiji la Mbeya lashika nafasi ya pili kwa usafi May 14, 2024 Jackline Mkota 2 min read Habari Rais Dkt. Samia aridhia mikopo ya asilimia kumi May 14, 2024 Jackline Mkota 1 min read Habari Mhandisi Mahundi: Serikali kujenga minara 15 Wilaya ya Manyoni May 14, 2024 Jackline Mkota
More Stories
Jiji la Mbeya lashika nafasi ya pili kwa usafi
Rais Dkt. Samia aridhia mikopo ya asilimia kumi
Mhandisi Mahundi: Serikali kujenga minara 15 Wilaya ya Manyoni