Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo, leo Agosti 28, 2021. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitabua ambacho Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alisajaliwa kuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora kwa nambari 590 wakati alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo, leo Agosti 28, 2021 Muonekano wa sehemu ya bweni la Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora baada ya ukarabti uliofanywa na serikali. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati huo, leoAgosti 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu) Post Views: 1,662 Continue Reading Previous Mbio za Mwenge kukagua miradi ya bil.2/- MtwaraNext Serikali yadhamiria kutimiza ndoto za wanafunzi More Stories Habari CCM imejipanga kushinda kwa kishindo November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa  November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi November 23, 2024 zena chitwanga
More Stories
CCM imejipanga kushinda kwa kishindo
Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa Â
Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi