Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justin (kushoto) akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa African Guarantee Fund (AGF) Jules Ngankam (kulia) mara baada kutiliana saini Randama ya Makubaliano ya kutoa dhamana ya mkopo wa kiasi cha dola za Marekali Milioni 20 kwa wakulima wadogo, wakati na wakubwa. Katikati ni Kamshina wa Idara ya Maendeleo ya sekta ya fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt. Charles Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Nchini(TADB), Japhet Justine (kushoto) akionesha randama ya makubaliano mbele ya waandishi wa habari akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa African Guarantee Fund (AGF), Jules Ngankam yenye lengo la kutoa dhamana ya mkopo wa kiasi cha dola za Marekali Milioni 20 kwa wakulima wadogo, wakati na wakubwa hapa nchini. Katikati ni Kamshina wa Idara ya Maendeleo ya sekta ya fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt. Charles Mwamwaja. Picha zote na mpiga picha wetu. Post Views: 575 Continue Reading Previous KDCU yaongeza tija ya uzalishaji wa KahawaNext Elimu ya hifadhi ya jamii yavutia wengi Maonesho ya Sabasaba More Stories 2 min read Habari Kitaifa DC aeleza umuhimu wa mafunzo ya JKT May 3, 2024 joyce kasiki 2 min read Habari Kitaifa JKT yazindua Boti yake kuongeza tija katika ulinzi,uzalishaji May 1, 2024 joyce kasiki 2 min read Habari Kitaifa Wahariri kujadili nafasi ya waandishi matumizi ya gesi April 28, 2024 joyce kasiki
More Stories
DC aeleza umuhimu wa mafunzo ya JKT
JKT yazindua Boti yake kuongeza tija katika ulinzi,uzalishaji
Wahariri kujadili nafasi ya waandishi matumizi ya gesi