NJa Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro pamoja na Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dkt.Francis Michael wakiwa katika matukio tofauti tofauti katika picha kabla ya kuanza kwa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lillilofanyika mapema jana Dubai.

Katika Kongamano hilo lililowakutanisha Wafanyabiashara mbalimbali wa kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu Mgeni rasmi alikuwa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan

More Stories
CRDB yavutiwa na ubunifu wa vijana VETA, yatoa zawadi
Mkenda: Tuamini wataalamu wetu, tupunguze utegemezi wa Nje
VETA yafungua milango ya mafanikio kwa wenye ulemavu