Na mwandishi wetu,TimesMajira Online
Kuelekea siku ya Wanawake dunia, baadhi ya Wanawake wafanya kazi wa bandari kushirikiana na wadau mbali mbali wametoa Millioni 29 kwa magereza ya Wanawake segerea pamoja na mahabusu ya watoto iliyopo upanga wakiwa na lengo la kuigusa jamii yenye mahitaji kabla ya kilele cha siku ya Wanawake.





More Stories
Rev.Meivuke ashauri mkoa kuchukua hatua maeneo hatarishi
Ilemela yakusanya bil. 4.37
Chunya kuwaburuta mahakamani wadaiwa wa mil.600