January 19, 2022

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Utekelezaji wa ahadi

Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Jacqueline Ngonyani (Msongozi) akiwagawia cherehani wanawake wa UWT Wilaya ya Namtumbo kwenye hafla ya kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge. Katika hafla hiyo alikabidi vyerehani zaidi 100 na kuwataka wazitumia kwa malengo aliyokusudia ya kuwakwamua kiuchumi badala ya kuwa tegemezi. Picha na Cresensia Kapinga.