Na Mwandishi Wetu,TimesMajira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano Novemba 04, 2026 amepiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino, mkoani Dodoma, katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
Uchaguzi huo unafanyika kwa lengo la kumpata Mbunge mpya wa Jimbo la Chamwino kufuatia aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Deogratius Ndejembi, kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



More Stories
Serikali yaendelea kupunguza makali ya bei za mafuta
Serikali yafungua milango ya uwekezaji Sekta ya Nishati
Wanaodaiwa kupanga kufanya fujo hukumu ya Lisu waonywa