Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma. MAMLAKA ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA)imeutangaza rasmi Mfumo wake mpya wa ununuzi wa Umma wa kielektroni...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online DSM Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Latifa Khamis, amepokea udhamini...
 Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma UELEWA mdogo kwa jamii kuhusu ugonjwa wa Selimundu ni moja ya changamoto inayochangia ugonjwa huo kuendelea...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bahati Geuzye amekutana na watumishi wa Mamlaka...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online MWANZA MAAFISA Habari kutoka Vitengo vya Mawasiliano Serikalini vya wizara wameshiriki katika mafunzo ya kuhuisha...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online KATIKA kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambayo hufanyika Barani Afrika...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online LSF kwa kushirikiana na S4C wamezindua jezi mpya kwa ajili ya mbio za ‘Run for...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha Mtanzania anaishi Maisha ya kidijitali, Tigo, leo imetangaza kuzindua kampeni mpya...
Na Rose Itono- Morogoro SERIKALI imeziagiza Bodi zenye Mamlaka ya Usimamizi katika Sekta ya Ujenzi kuhakikisha wataalamu wanaopewa dhamana ya...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online NAIBU Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameufungua Mgodi wa wachimbaji wadogo wa Madini ya...