WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Mhashamu Josephat Jackson Bududu.
Ibada hiyo imefanyika leo Mei 25, 2025 katika Kanisa Kuu la Mt. Theresia, Tabora.











More Stories
Watanzania wahimizwa kudumisha maadili
Elimu ulinzi shirikishi yapunguza mauaji Kwimba
AIRTEL FURSA LAB yarudi kwa sura mpya