Na Moses Ng’wat,Timesmajiraonline,Mbozi. KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025,Ismail Ali Ussi, amewataka wananchi wa Wilaya ya Mbozi...
Na Mwandishi wetu,Rufiji, Pwani Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo, akiendelea na kampeni zake kuelekea Uchaguzi...
Mgombea Urais ACT Wazalendo, aahidi kuirudisha hadhi ya Mji wa Chake Chake na kuinua uchumi wa Pemba
Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuurejeshea heshima na hadhi yake ya awali Mji wa Chake Chake,...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira MKURUGENZI wa Kampuni ya Makambako Beverage ( Makabev),Augustino Kisinga ametunukiwa shahada ya Udaktari wa heshima na Chuo...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira KATIKA kuimarisha upatikanaji wa huduma za kidijitali, Kampuni ya Mawasiliano nchini, Yas, imeingia kwenye ushirikiano wa...
Na Mwandishi Wetu,Kahama MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga na Mwanasiasa Mkongwe, Khamis Mgeja...
Rufiji, Pwani Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Luteni Kanali Fredrick Komba ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Mgombea Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuwa Serikali atakayoiongoza itaweka historia mpya...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online WATU wenye changamoto ya kutoona kutoka mikoa ya Dar-es-Salaam na Pwani wamenufaika na mafunzo yaliyotolewa...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Mgombea Udiwani wa Kata ya Nyamanoro kupitia Chama Cha Mapindizi(CCM), jimboni Ilemela Abdulrahman Kange,ameahidi kushughulikia changamoto...
