Cedric Kaze raia wa Burundi ndiye anayetajwa kuwa kocha mpya wa Yanga akitokea kule Amerika ya Kusini ambako anafanya kaziBado...
Kiungo kiraka Deus Kaseke amesema baada ya changamoto nyingi walizopitia msimu uliopita, msimu huu wamejipanga kufnya vizuriKaseke ambaye amepewa majukumu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki amemkabidhi rasmi Dkt. Robert Fyumagwa majukumu ya kuwa Kaimu...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amevitaka Vyombo vya Habari Nchini kuendelea kudumisha na kulinda amani...
Joe Biden ameidhinishwa rasmi kuwa mgombea urais atakayepeperusha bendera ya chama cha Democratic mwaka huu huku kukiwa na hotuba za...
Ratiba ya ligi kuu imekwishatoka huku mechi mbali mbali ngumu na nyepesi zikitegemewa kurindima kwa miezi tisa. Kwa upande wa...
Klabu ya KMC imeendelea kujiimarisha baada ya kumnasa aliyekuwa beki wa klabu ya Yanga Andrew Vicent maarufu kwa jina la...
Klabu ya Barcelona imetangaza kuachana na mkurugenzi wa michezo klabuni hapo Eric Abidal. Mkurugenzi huyo amepigwa chini baada ya kura...
Klabu ya Paris Saint German kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufuzu fainali za Ligi ya Mabingwa ulaya kwa msimu wa...
Ibrahim Boubacar Keïta ambaye ni Rais wa Mali amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na Jeshi la nchi hiyo...