Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ametoa orodha ya nyimbo zake pendwa ambapo wimbo ‘Smile’ wa wizkidayo kutoka Nigeria ni miongoni mwa nyimbo hizo 53. Nyimbo nyingine ni za Beyonce, Rihanna, Nas, J. Cole, Nina Simone na Frank Ocean.
Bwana Obama amesema kuwa baadhi ya nyimbo hizo zitachezwa wakati wakongamano la kitaifa la chama chaDemocratic cha wiki hii ambalo lilifunguliwa jana usiku.

More Stories
Wanawake na vijana nguvu ya viwanda
Wizara yasuluhisha mgogoro wa Kampuni na Mkandarasi
Tutuba ahimiza matumizi ya Taasisi rasmi za fedha