October 20, 2021

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mbunge anapobadilishana mawazo na wapiga kura wake

Mbunge wa Jimbo la Kyela, Ally Mlaghila Jumbe akibadilishana mwazo na wazee wa kitongoji cha Kibugujo kata ya Ipyana Kyela Mara baada ya kumtembela ofisini kwake jana. Na mpiga picha wetu.