Pichani matukio mbalimbali ya picha yakimuonyesha Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prifesa Adolf Mkenda ,wabunhe na viongozi wengine wa wizara hiyo wakiingia Bungeni tayari kabisa kwa shughuli za bunge ambapo leo Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2026/2027 inasomwa.
More Stories
Waongezewa nguvu huduma za mama wajawazito Same
Wasusi watakiwa kutumia programu ya “Darling Hair” kujiimarisha
Madiwani Nkasi wataka mianya ya upotevu wa mapato izibwe