April 19, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Majaliwa afanya mazungumzo na Mawaziri na Makatibu wakuu wa ofisi ya Waziri Mkuu

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Viana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kuzungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri baada ya kuzungumza nao pamoja na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto,  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na kulia  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)