Barafu ikiwa imezingira magari katika eneo la maegesho lililopo mjini Bakhchisaray, Crimea juzi. (Picha na REUTERS). Watu wakitembea karibu na...
CHAGUO LA MHARIRI (PICHA)
Wanakijiji wakijaribu kumkabili ng'ombe dume wakati wa sherehe za mavuno maarufu kama Jallikattu ambayo huwa inasherehekewa kwa namna yake huko...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia suluhu Hassan, akizungumza jambo  na Rais Mstaafu wa Zanzibar...
Mwendesha pikipiki Gilbert Delos Reyes mkazi wa Imus mjini Cavite, Ufilipino akiendesha pikipiki huku akiwa amempakiza mbele mbwa wake anayejulikana...
Mwalmu akiwa amevalia barakoa huku akikagua daftari la mmoja wa wanafunzi katika Shule ya Sangharsh Vidya Kendra iliyopo katika kitongoji...
Mwanamke akipatiwa vipimo vya virusi vya Corona (COVID-19) kupitia mpango wa kuwafikia watu majumbani mjini Ammerschwihr uliopo Mashariki mwa Ufaransa...
PICHANI JUU KUSHOTO: Mwanaume aliyevalia mavazi ya 'Spider-Man' akiwa amekaa kando ya msafara wa teksi wakati madereva teksi wakiwa wamefanya...
Ndugu wakimuombea mwanamke aliyefariki kwa virusi vya Corona (COVID-19) juzi mjini New Delhi, India. Bado wataalam wa afya wanasisitiza umuhimu...
Baadhi ya watoto kutoka Kijiji cha Mayong wilayani Morigaon Kaskazini Mashariki mwa Assam, India wakiendeshesha mtumbi waliobuni ili kuwavusha katika...
Mhudumu wa afya akichukua vipimo vya COVID-19 kutoka kwa mwanamke mmoja juzi, kupitia dirisha dogo mjini New Delhi, India ikiwa...
