Dkt.Tulia achaguliwa kuwa spika azoa kura zote 376 zilizopigwa,wapinzani waambulia sifuri kila mmoja
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma Mbunge wa Mbeya mjini Dkt.Tulia Ackson kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge...
