Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Kamilius Membe, amefariki Dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinasema alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.

More Stories
Cyber Bullying: Unyanyasaji wa Mtandaoni
WATU WASIOJULIKANA
Tambua Haki Zako Mtandaoni