January 29, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Majaliwa akagua ukarabati wa shule ya Wavulana Tabora

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari  ya wavulana Tabora  wakati alipotembelea Shule hiyo, leo Agosti 28, 2021. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitabua ambacho Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alisajaliwa kuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora kwa nambari 590 wakati alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo, leo Agosti 28, 2021
Muonekano wa sehemu ya bweni la Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora baada ya ukarabti uliofanywa na serikali. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati huo, leoAgosti 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)