Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Sekta ya Madini, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Madini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
More Stories
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji
DC Nkasi na kampeni ya mjue jirani yako kuimarisha usalama