March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Wanaccm wamsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

Na Mwandishi wetu,Timesmajira

Namna ambavyo wanachama wa Chama cha
Mapinduzi walivyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenda kuchukua fomu ya kugombea urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jijini Dodoma.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliambatana na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuchukua fomu hiyo mapema leo katika ofisi za INEC zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.