Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo,Luhaga Mpina, Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Fatma Ferej na Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman wamepokelewa na maelfu ya wanachama wa ACT Wazalendo na wananchi wa Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha upande wa Unguja leo tarehe 9 Agosti 2025.





More Stories
Hospital ya Wilaya Mbarali yapokea vifaa tiba
Mpogolo aagiza mitaro Kariakoo kuzibuliwa
TCRA, Polisi na mkakati kudhibiti uhalifu mtandaoni Rukwa