January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Poul Makonda(kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (kushoto) wakipita katika mashine maalumu ya kitakasa mwili baada ya kukabidhi vifaa vya kupambana na COVID-19, makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

Rostam akabidhi mashine za kutakasa mwili

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda(kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (kushoto) wakipita katika mashine maalumu ya kitakasa mwili baada ya kukabidhi vifaa vya kupambana na COVID-19, makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)