January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rostam Aziz (kushoto) akiteta na waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed nje ya ukumbi wa Sheikh Idris Abdul Wakil leo. Picha na Martin Kabemba.

Rostam aibukia Zanzibar, atoa milioni 500 vita ya COVID-19

Rostam Aziz akiteta na Mohamed Aboud baada ya mfanyabiashara huyo kukabidhi msaada kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Picha na Martin Kabemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed 9kulia) akimpokea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Id kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na mambukizi ya rirusi vya korona vilivyotolewa na Rostam Aziz jana. Picha na Martin Kabemba.