

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman. Picha na Ikulu

More Stories
TBA yatangaza fursa uwekezaji Geita,yanyakua Tuzo
DIB yasisitiza umuhimu wa Bima ya Amana
Dkt.Yonanzi atembelea Ubalozi Marekani nchini Uturuki