Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Maofisa wa Jeshi la Polisi Wanawake muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam.Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua Kikao cha kazi kwa ajili ya Tathmini ya mwaka mmoja 2020-21 kwa Maafisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi nchini, leo Agosti 25,2021 katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
More Stories
WHI yakamilisha nyumba 54 za watumishi
Mtandao walaani mauaji ya Wanawake, Wasichana nchini
UBA TANZANIA yazindua mfumo mpya wa malipo ‘PAPSS’