Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Haruni Mapesa leo ametembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Kafteria katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere kampasi ya Karume Zanzibar ili kujionea nanna shughuli za ujenzi zinavyoendelea
Katika ziara hiyo ya kiutendaji, Prof. Mapesa pia amepokea ripoti ya ujenzi wa kafteria hiyo kutoka kwa kamati ya ujenzi.
Aidha pamoja na ukaguzi huo alipata fursa ya kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mahafali ya 10 ya kampasi ya karume yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni.




More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji