Na.Mwandishi wetu,Timesmajira Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho, ametembelea banda la Kampuni ya Ujenzi...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online, Mbeya. MBUNGE wa Jimbo la Mbeya Vijijini, Patali Shida Patali, amekabidhi gari la wagonjwa (ambulance)...
Na.Mwandishi wetu,Timesmajira Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na...
MFUMO wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umetunukiwa tuzo ya kimataifa na kutambuliwa kuwa miongoni mwa mifumo 20...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kutekeleza Mpango wa Matengenezo ya...
Na Penina Malundo,Timesmajira Mfuko wa Udhamini wa Pembejeo za Kilimo (AGITF) umeahidi kuendelea kushirikiana na taasisi za fedha nchini ili...
Na Mwandishi Wetu Addis Ababa- Ethiopia. Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amekutana na kufanya kikao cha pembeni na wajumbe...
Na.Penina Malundo,Timesmajira Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, TPBA, kimetangaza rasmi uzinduzi wa kitabu kipya cha “Falsafa ya Sheria ya...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajiraonline,Dar es Salaam SERIKALI imehakikisha kuwa mapambano dhidi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) yataendelea kupewa kipaumbele, huku...
Na Mwandishi wetu,TimesmajiraOnline,Arusha KITUO cha Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Selian kimewataka Wakulima kujitokeza kwa wingi kushiriki maonesho ya kilimo-biashara...
